Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameishauri serikali kufanya haraka kutengeneza mfumo wa kuzuia mapema wizi wa mitandaoni.
Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari bungeni Dodoma Mei 20, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhandisi Ulenge akitoa ushauri wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment