Featured

    Featured Posts

DK. MPANGO AWASILI MBEYA, LEO, KUFUNGUA NANE NANE AGOSTI MOSI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya Jacob Mwakasole pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na chama na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati alipowasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Songwe leo tarehe 30 Julai 2022 kwaajili ya ufunguzi wa maonesho ya Nane Nane yanayofanyika mkoani Mbeya kuanzia tarehe 1 Agosti 2022.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana