Featured

    Featured Posts

LATRA: MABASI 550 YAMEINGIZWA KWENYE MFUMO WA TIKETI MTANDAO+video



Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), CPC HABIB SULUO akielezea mbele ya vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma Julai 26, 2022, kuhusu kampeni ya LATRA kuyaingiza mabasi ya abiria kwenye mfumo wa Tiketi Mtandao ambapo hadi sasa tayari mabasi 550 kati ya 7000 yameshaingizwa kwenye mfumo huo.



 Sehemu ya wanahabari wakiwa katika mkutano huo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mkuu wa LATRA akielezea kuhusu kampeni hiyo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana