Featured

    Featured Posts

TDMA: TUMETOA ZAIDI VIBALI 15,000 VYA UINGIZAJI WA DAWA NCHINI+video






 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Adam Fimbo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa shughuli za Taasisi hiyo na vipaumbele kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Julai 29, 2022 kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine ameelezea
utoaji wa vibali 15,000 vya uingizaji wa dawa nchini.

PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Fimbo akielezea uwepo wa viwanda hivyo pamoja na mambo mengine....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana