Featured

    Featured Posts

WALIOFAULU USAILI WA AJIRA YA MUDA YA MAKARANI WA SENSA WILAYA YA KINONDONI HAWA HAPA

Kwa Mujibu wa Tangazo la Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Waombaji wa ajira ya muda walioshiriki usaili uliofanyika Julai 20, 2022 na Julai 21, 2022 na kufaulu katika usaili huo wanatakiwa kuhudhuria mafunzo yatakayofanyika katika Vituo mbalimbali ambavyo vimeainishwa katika majina kwenye kila Kata kuanzia kesho Julai 29, 2022, saa 2.00 asubuhi. Kuona Orodha ya majina ya makarani waliofaulu usaili na vituo vya mafunzo walivyopangiwa, Bofya 👉HAPA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana