Featured

    Featured Posts

MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA AFRECO, WAONESHA NIA KUSAIDIA UDOM

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya Association of African Economic Development (AFRECO) Bw. Tetsuro Yano,  katika Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliofanyika jijini Tunis, Tunisia  Agosti 28, 2022. Kampuni ya  AFRECO  ya imeonesha nia ya kujenga chuo cha Uhandisi wa Tiba (school of medical engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Association of African Economic Development (AFRECO) Bw. Tetsuro Yano, katika Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliofanyika jijini Tunis, Tunisia  Agosti 28, 2022. Kampuni ya  AFRECO  ya imeonesha nia ya kujenga chuo cha Uhandisi wa Tiba (school of medical engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana