Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi Mfumo wa ruzuku ya Mbolea mara baada ya kutembelea Mabanda na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na wadau wa Kilimo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akilihutubia Taifa kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.
Wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022


Post a Comment