Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Mkuu mpya wa Mkoa wa Njombe, ambaye kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini kumteua tena kuwa mkuu wa mkoa. Shukrani hizo amezitoa alipokuwa akimkabidhi Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule Agosti 4, 2022 jijini Dodoma.
Mtaka akimkabidhi nyaraka Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma, Senyamule
Baadhi ya viongozi wakiwa katika hafla hiyo ya makabidhiano
PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mtaka akitoa shukrani kwa Rais....
Post a Comment