Featured

    Featured Posts

RC SENYAMULE AKOSHWA NA HUDUMA ZA MKURABITA NANE NANE DODOMA+video

.

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) alipokuwa akielezwa na Mtaalamu wa Sheria wa taasisi hiyo, Harvey Kombe kuhusu huduma mbalimbali wanazozitoa kwa wananchi alipotembelea banda hilo katika kilele cha Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Kanda ya Kati jijini Dodoma Agosti 8, 2022
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano MKURABITA, Glory Mbilimonyo akitoa maelezo zaidi kwa RC Senyamule kuhusu baadhi ya wananchi walivyonufaika kwa kupata mikopo kupitia hatimiliki za ardhi.


PICHA NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, RC Senyamule akitembelea banda hilo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana