Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule aakizungumza kuhusu maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 23, 2022 yamekamilika kwa asilimia 98, ambapo pia amezindua namba maalumu ya ya bure ya kuwasiliana na wananchi kwa lengo la kutatua kero mbalimbali wakati wa zoezi la sensa.Amefanya uzinduzi huo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Agosti 21, 2022.
Wanahabari wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano huo.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, RC Senyamule akielezra kuhusu maandalizi hayo....
Post a Comment