Featured

    Featured Posts

WAZIRI AWESO AJIRIDHISHA MAJI BWAWA LA MTERA KUPELEKWA DODOMA+video

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa pili kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Aron Joseph (wa pili kulia) akitembelea Bwawa la Mtera Agosti 2, 2022 na kujiridhisha kwamba maji yake yanaweza kutumika na wakazi wa Jiji la Dodoma hasa baada ya kuelezwa na watalaamu kwamba yakitumika hakutokuwa na athari yoyote katika uzalishari wa umeme. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM/
Bwawa la Mtera




Aweso akijadliana jambo na watalaam pamoja na viongozi.


 Aweso akiondoka baada ya kutembelea bwawa la Mtera


PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Aweso, Wtalaam na viongozi wakizungumza baada ya kutembelea bwawa hilo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana