Na CCM Blog
Kikao cha Kamati Kuu ya Halamashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kufanyika kesho, Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma.
Kikao hicho ambacho kitajadili masuala mbalimbali, kitafanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao hicho wamewasili leo jijini Dodoma akiwemo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi.👇
Post a Comment