Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Pindi Chana. akielezea mambo zaidi yaliyojitokeza wakati wa uatatuzi wa migogoro hiyo na hatua wanazozichukua. Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete.
Waziri wa Nchi, Ofisi ys Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa akisisitiza kuwepo ushirikiano baina ya wizara hizo katika utatuzi wa migogoro hiyo.
Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hassan Mtenga akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Shaban Shekilindi akiongoza kikao hicho.
Baadhi ya wabunge na maafisa wa serikali wakiwa katika kikao hicho.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment