Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Godrick Ngoli akielezea jinsi chuo hicho cha serikali kilivyo mkombozi kwa kuzalisha watalaam lukuki kupitia mafunzo mbalimbali yatolewayo chuoni hapo.
Ngoli ameelezea umuhimu wa chuo hicho katika maendeleo ya nchi, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Maadhimisho ya miaka 20 ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Septemba 12, 2022 kwenye viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. DC Shekimweri akimsikiliza Afisa wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Dkt Maclean Mwamlangala kuhusu mafunzo mbalimbali yatolewayo chuoni hapo.DC Shekimweri akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ngoli akielezea umuhimu wa chuo hicho...
IIMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment