Featured

    Featured Posts

KITWANGA ATOA YA MOYONI, CHUNGU TAMU ZA TOZO, AISHAURI SERIKALI KUANGALIA VYANZO VIPYA VYA MAPATO

Aliyekuwa Mbunge wa Misungwi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga amesema kuwa tozo za miala ya Benki ni kumkandamiza Mwananchi. 

Amesema kuwa kutoza tozo kwenye Miamala ya Kibenki ni kuvunja sheria ya kodi ambapo wanatoza kodi mara mbili kwa mwananchi mmoja. 

Aishauri Serikali kuongeza gharama kwenye kupiga simu kuliko kukata Fedha kwenye Fedha za mishahara ya watu ambayo hata wajaifanyia kazi.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana