Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata amehoji bungeni ni lini serikali itaanza ujenzi wa Hospitali ya Mkoa katika eneo maalumu lililotengwa kwa ajili hiyo.
Ameuliza swali hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Sept. 19, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwakang'ata akipambania ujenzi huo wa Hospitali...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203
Post a Comment