Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Rita Kabati ameihoji serikali bungeni Dodoma Septemba 19, 2022, ni lini serikali itarekebisha ramani ya nchi?Jimbu lake limejibiwa na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kabati akiuliza swali hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment