Mwakilishi kutoka Uingereza, Matt Toombs akielezea makubaliano waliyoafikiana washiriki wakati wa mkutano huo wa siku mbili.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mary Maganga akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Mulamula kufunga mkutano huo.
Baadhi ya washiriki kutoka nchi 20 duniani wakiwa katika mkutano huo.
Balozi Mulamula akibadilishana mawazo na Balozi wa Uingereza nchini, David Concar.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mulamula akizungumza kuhusu utayari wa Tanzania katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya Tabianchi, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Zanzibar, Dkt Omar Dadi na mabalozi wa mazingira Tanzania wakielezea mafanikio ya mkutano huo...
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment