Mhandisi Mwandamizi wa Umeme wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Mwanamkuu Kanizio, akimwelekeza mteja Christine Kahale jinsi ya kujisajili katika fomu ya mfumo wa (Licensing and Order Information System, LOIS) wa kuomba leseni ya uunganishaji umeme kwenye majumba ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki jijini Dar es Salaam.
Post a Comment