Baadhi ya Kaka zetu, Watoto wetu, Ndugu zetu kutoka Afrika wanatimkia Ughaibuni kwamba wanaenda huko kutafuta maisha, kumbe kinachoendelea huko wengine wanaenda kuolewa! Hii ni aibu kubwa. Ndiyo maana Serikali ya Tanzania hairuhusu mambo haya ya aibu!
Post a Comment