Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KAMPUNI YA TOTAL ERNERGIES IKULU, JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Rais wa Kampuni ya Total Energies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya Total Energies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiendelea na mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Total Energies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Kampuni ya Total Energies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kampuni ya Total Energies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana