Suzan Kaganda (Pichani) ambaye alikuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) ambaye leo Oktoba 24, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan, amempandisha kutoka cheo hicho na kuwa Kamishna kamili wa Polisi (CP) na Wakati huohuo kumteua kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu wa Jeshi hilo la Polisi. Taarifa ya kupandishwa cheo na kuteuliwa CP Suzan Kaganda hiyo hapo👇
Post a Comment