Featured

    Featured Posts

WATAALAMU 65 WAPATA MAFUNZO KATIKA YA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na Daktari bingwa wa wagonjwa wanaohitaji huduma ya dharura na mahututi kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani Richard Harper wakati wa mafunzo ya siku tatu ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi ya namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa hao Jana katika Ukumbi wa Taasisi hiyo Jjijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA
   Wataalamu wa Afya walioshiriki mafunzo ya siku tatu ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi wakijifunza namna ya kutumia mashine ya cardiac monitor kuangalia mwenendo wa mapigo ya moyo na oksijeni mwilini wakati wa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuhudhuriwa na wauguzi na madaktari kutoka hospitali mbalimbali nchini.
  Daktari bingwa wa moyo kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani Donato Sisto akiwawafundisha washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa hao wakati wa mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuhudhuriwa na wauguzi na madaktari kutoka hospitali mbalimbali nchini.
  Daktari bingwa wa moyo kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani Michael Schupp akiwafundisha washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa hao wakati wa mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuhudhuriwa na wauguzi na madaktari kutoka hospitali mbalimbali nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na Daktari bingwa wa wagonjwa wanaohitaji huduma ya dharura na mahututi kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani Richard Harper wakati wa mafunzo ya siku tatu ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi ya namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa hao Jana katika Ukumbi wa Taasisi hiyo Jjijini Dar es Salaam.
   Wataalamu wa Afya kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakiwafundisha washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi namna ya kutumia mashine ya cardiac monitor kuangalia mwenendo wa mapigo ya moyo na oksijeni mwilini wakati wa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuhudhuriwa na wauguzi na madaktari kutoka hospitali mbalimbali nchini.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana