video
"Chama hiki ni kikubwa, kikishajua kwamba huyu tumemfunga kamba miguuni kinakuacha uzurure tu kama mbuzi, kikiamua kuvuta, kinavuta mara moja, hakuna mwenye uwezo wa kukimbia kamba ipo mguuni, wewe nenda zunguka zunguka tu, tukiamua kuvuta tunamalizana na wewe bila shida" Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo
Post a Comment