Featured

    Featured Posts

CHATANDA AANZA MAMBO, ACHANGIA MIFUKO 100 YA SARUJI UJENZI JENGO LA WATOTO CHADULU




 Mwenyekiti wa Umoja wA Wanawake Tanzania (UWT)MCC Mary Chatanda,amefika Kanisa la KKKT Bether lililopo Chadulu Dodoma kushiriki Sala ya Jumapili. 


MCC Mary Chatanda amefikisha salaam za Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaomba Waumini wote kuendelea kuilinda Amani na kuimarisha mashirikiano pamoja na kumuombe Rais wa Jamuhuri ya Muungani wa Tanzania, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Serikali yake. 


Aidha, MCC Mary Chatanda amekabidhi Shilingi 1,000,000 na Mifuko 100 ya Sementi kama Mchango katika Harambee ya Jengo la Watoto na Ofisi kwa ujumla. 


#JeshiLaMama

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana