Featured

    Featured Posts

KUMEKUCHA MKUTANO WA UWT KUMPONGEZA RAIS SAMIA

 

Wanawake kutoka mikoa mbalimbali wakicheza kwa furaha wakati wa  mkutano wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), kumpongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mkubwa alioupata wa uenyekiti na kutunukiwa shahada ya udaktari. 


Mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa  mikutano wa Jakaya Kikwete Novemba 9, 2022 jijini Dodoma umempongeza pia Mwenyekiti mpya wa UWT, Mary Chatanda na MAkamu Mwenyekiti, Zainab Shomari.
Mwenyekiti mpya wa UWT, Mary Chatanda  (kulia)na Makamu Mwenyekiti, Zainab Shomari.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akisalimia kabla ya kutoa salamu za pongezi za mkoa huo kwa Rais Samia na Mary Chatanda.




Mmoja wa waasisi wa UWT, Getrude Mongela akiwafunda viongozi na wanawake kwa ujumla.


























author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana