Featured

    Featured Posts

MAMBO NDANI YA MKUTANO MKUU WA 10 WA CCM TAIFA

 


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wajumbe alipokuwa akiingia ukumbini kufungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa chama hicho kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Novemba 7, 2022.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia akiteta jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho, Komredi  Daniel Chongolo  wakati wa mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana (kulia) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo.

Wajumbe kutoka Mkoa wa Njombe..

Wajumbe kutoka Kusini Unguja
Wajumbe kutoka Kigoma
Wajumbe kutoka Singida

Wajumbe kutoka Dar es Salaam.


Wajumbe kutoka Mtwara

Sehemu ya  mkutano huo

Wajumbe kutoka Mkoa wa Lindi


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana