Featured

    Featured Posts

RAIS DK. SAMIA ATEUA WAWILI UKATIBU MKUU WA WIZARA, LEO

Ikulu, leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan hii leo Desemba 14, 2022 amemteuwa Dkt. Hashil Twaib Abdallah, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara.


Tarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, imesema pia Rais Dk. Samia amemteua Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Rais Dk. Samia
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana