Featured

    Featured Posts

WAFANYABIASHARA WAISHUKURU SERIKALI KUWAPATIA MAFUNZO YA UMUHIMU WA ANWANI ZA MAKAZI+videi


Mjumbe wa Timu ya Uratibu Mfumo wa Anuani za Makazi Kitaifa, Arnold Mkude akielezea muundo wa mfumo wa anuani za makazi na manufaa yake.


Mtaalamu wa Mfumo wa Kidijitali wa Anuani za Makazi,  Masele Mabula akielezea  kuhusu postikodi
Mfugaji wa sungura, Tupokigwe Mwatija akisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ripae Enterprises mfanyabiashara Habiba Maduga akiwa na mwanye ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.
Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano huo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,

Baadhi ya wafanyabiashara waliohudhuria mafunzo ya umuhimu wa anwani za makazi kibiashara, wakielezea jinsi walivyonufaika na mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari jijini Dodoma hivi karibuni.
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana