Featured

    Featured Posts

WAHITIMU CHUO CHA MIPANGO WATAKIWA KUCHANGAMKIA 10% YA MIKOPO HALMASHAURI+video


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jenifa  Omolo akiwa na viongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, wakati wa maandamano ya Mahafali ya 36 ya chuo hicho jijini Dodoma Novemba 2,2022. Zaidi ya wanafunzi 6000 wamehitimu.

Omolo amewataka wahitimu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kuchangamkia kuomba asilimia kumi ya mikopo ya mapato ya halmashauri nchini.
Baadhi ya wahimu wakiwa kwnye ukumbi wa chuo hicho wakati wa mahafali hayo.

Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Hozen Mayaya akielezea majukumu ya chuo hicho.
 Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Godrick Ngoli akifanikisha baadhi ya mambo wakati wa mahafali.
Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Omolo akiteta jambo na Mkuu wa chuo, Prof. Mayaya.
Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Omolo akihutubia wakati wa mahafali hayo.




Omolo akiwatunukia baadhi ya wahitimu.



 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Omolo akiwahimiza vijana hao kuchangamkia fursa hiyo ya mikopo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana