Featured

    Featured Posts

ASKOFU CHANDE AHIMIZA WATANZANIA KULIPA KODI KWA FAIDA YA NCHI


 Askofu Dkt Evance Chande wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God la Ipagala jijini Dodoma, amewahimiza  wafanyakazi, wafanyabiashara na wakulima kuwa na tabia ya kulipa kodi kwa faida ya maendeleo ya Taifa.

Amehimiza hilo alipokuwa akiwaombea waumini wake wa sekta hizo wakati wa ibada ya kuuaga m waka 2022 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 kanisani kwake Ipagala Dodoma Januari Mosi, 2023.


Askofu Dkt Chande akiongoza kuliombea Taifa amani na utulivu.


Wakiipamba ibada hiyo kwa kwaya.

Kanisa la Karmeli Asemblies of God ambapo ibada hiyo ilifanyika.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Askofu Dkt Chande akihimiza kada hizo kulipa kodi...

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana