Featured

    Featured Posts

CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO KILIVYOJIKITA KUTOA USHAURI UTATUZI WA MASHAURI NJE YA MAHAKAMA+video

Wananchi wakiwa banda la Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA) kupata uelewa wa mambo mbalimbali yanayofanywa na chuo hicho.

 Mhadhiri Fatuma Mgomba wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto, akielezea jinsi chuo hicho kinavyotoa ushauri na mafunzo ya kuendesgha mashauri ya watoto, utatuzi wa migogoro ya ardhi na kesi zingine nje ya mahakama.
Pamoja na mambo mengine Mgomba ameeleza hayo katika Banda la chuo hicho katika Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria kwenye viunga vya Nyerere Square jijini Dodoma Januari 22, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mgomba akielezea kuhusu majukumu hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana