Featured

    Featured Posts

MBIVU, MBICHI YA HALMASHAURI ZILIZOCHEMSHA KUJULIKANA JANUARI 27+video


 Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Stanslaus Mabula akielezea mbele ya vyombo vya habari Dodoma Januari 18, 2023, kuhusu halmashauri na manispaa zilizochemsha yaani haziko sawa watautaarifu umma Januari 27, 2023.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Mabula akieleza hayo mbele ya wanahabari....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU
 KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana