Featured

    Featured Posts

MBUNGE JENEJELLY ATEMBELEA OFISI YA GAZETI LA UHURU NA KUZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI

Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jenejelly James akizungumza na Wafanyakazi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL) Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo, alipotembelea ofisi hiyo ya UPL, leo. Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhan Mkoma na kushoto ni Kaimu Meneja Utawala Uwezo Kasongo.
 
Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jenejelly James akiendelea kuzungumza na Wafanyakazi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL) Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo, alipotembelea ofisi hiyo ya UPL, leo. Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhan Mkoma na kushoto ni Kaimu Meneja Utawala Uwezo Kasongo.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhan Mkoma alipokuwa akimkaribisha Mbunge huyo kuzungumza na Wafanyakazi.
Baadhi ya Wafanyakazi wakimsikiliza Mbunge huyo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana