Featured

    Featured Posts

RAIS DK. MWINYI LEO KUSHIRIKI MAZOEZI YA VIONGO KUUKARIBISHA MWAKA 2023, PEMBA, KUZINDUA PIA MIRADI YA MAENDELEO KUADHIMISHA MIAKA 59 YA MAPINDUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi jana alipokelewa na Viongozi wa Serikali alipowasili Kisiwani Pemba kushiriki matemezi na Mazoezi ya Viungo leo Januari Mosi 2023, kwa kuukaribisha Mwaka mpya, sanjari na uzinduzi wa miradi mbali mbali ya mendeleo katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ikulu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana