Featured

    Featured Posts

RIDHIWANI : MTAKAOHUSIKA NA MRADI WA UBORESHAJI MILKI ZA ARDHI MSIWE WACHOYO KUTOA AJIRA+video

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amewataka watakaopewa miradi ya Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP), kuwa wazalendo na kutokuwa wachoyo wa kuwapatia ajira vijana wa kitanzania. Aidha amesema kuwa mradi huo utazalisha zaidi ya ajira 10,000 na takribani hati milki mil 2.5 zitatolewa katika maeneo ya miradi. Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Steven Kiruswa.

Ameyasema hayo alipokuwa akizindua majadiliano ya mradi huo jijini Dodoma Januari 17, 2023. Ridhiwani amezidua mradi huo kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo, Dkt Angeline Mabula.
Baadhi ya wadau kutoka sekta binafsi na serikali wakiwa katika mkutano huo








Katibu Mkuu wa wizara hiyo ya ardhi, Dkt Allan Kijazi


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ridhiwani akifungua majadiliano, Naibu Waziri wa Madini, Kiruswa, Mkuu wa Mkoa wa Dodod, Senyamule na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mgumba wakielezea manufaa ya mradi huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana