Featured

    Featured Posts

WENGI WAFURIKA RITA DODOMA KUPATA VYETI VYA KUZALIWA, ELIMU YA MIRATHI, TALAKA=video


Wananchi wakiwa wamefurika kwenye Banda la Wakala wa Usajili wa Ufilisi na Udhamini (RITA) kupata huduma za vyeti vya kuzaliwa, elimu ya mirathi, talaka na udhamini wakati waMaonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria kwenye viunga vya Nyerere Square jijini Dodoma Januari 26, 2023.

Afisa Sheria wa RITA, Emmanuela Mwingira ametoa mwito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kupata huduma hizo muhimu.











 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwingira pamoja na mambo mengine akiwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda Banda la RITA kupata huduma hizo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana