Featured

    Featured Posts

AWAICHI MAWALLA AIOMBA SERIKALI KUPUNGUZA KODI YA UAGIZAJI VIFAA VYA REDIO+video


 Awaichi Mawalla Mkurugenzi Mtendaji wa Savvy Media Group Ltd, inayomiliki Radio Savvy ya Arusha, ameiomba Serikali kupunguza kodi ya vifaa vya redio vinavyoagizwa nje kwa ajili ya kuanzisha vituo vya redio nchini.Ombi hilo amelitoa wakati wa mkutano Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na wadau wa Tasnia ya Utangazaji nchini uliofanyika jijini Dodoma Februari 13-14, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Awaichi akiomba punguzo hiyo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana