Featured

    Featured Posts

DC KASILDA IDARA ZOTE KUSHIRIKIANA ILI KUMSAIDIA RAIS SAMIA

Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Jeremiah Mgeni akizungumza na wakuu wa Idara pamoja na Taasisi mbalimbali  Wilaya ya Same  mala baada ya kupokelewa.


DC Kasilda Mgeni ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa   Idara zote kwa mapokezi makubwa ambayo hakutarajia na kusema hii inaonesha mshikamono mkubwa huliopo kwa viongozi hao katika uwajibikaji wa kazi 


Aliendelea kusema na kuwaomba wakuu wa Idara zote kuendelea kushirikiana kwa pamoja lengo ni mkusaidia Dkt Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwatumikia wananchi na kusimamia miradi  yote ambayo inayoendelea  kwenye wilaya huu


Aliyekuwa DC wa Same Edward Mpogolo amewaomba wakuu wa Idara zote kumpa ushirikiano wa kutosha mkuu wa Wilaya mpya wa Same na kuonyesha uzalendo kwa Taifa letu kama viongozi hili tuweze kuwatumikia Wananchi wote kwa ujumla




 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana