Featured

    Featured Posts

DKT PAULINE: WAZAZI TUWE KARIBU NA WATOTO, KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YAO+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, ameomba wazazi kuwa karibu na watoto kuongea nao mambo ya msingi, itungwe sheria kali dhidi wanaowafanyia ukatili watoto ili kuondokana kabisa na tabia hiyo mbaya.
Dkt Pauline ameyasema hayo alipokuwa akichangia hoja khusu ukali huo bungeni Dodoma Februari 2, 2023.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Dkt Pauline akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana