Featured

    Featured Posts

DMI YAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAKUMBUKA KIFEDHA+video


Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) Dkt.Tumaini Gurumo ameishukuru serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupatiwa fedha za kununulia vifaa vya kufundishia na kupata maeneo mbalimbali ya kujenga matawi ya DMI katika Mikoa ya Lindi na Mwanza.

Ametoa shukrani napongezi hizo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelezea utekelezaji wa majukumu ya chuo hicho Februari 9, 2023 jijini Dodoma.

Wanahabari wakiwa makini kusikiliza wakati wa mkutano huo...






PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Tumaini akitoa shukrani hizo kwa Rais...

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana