Featured

    Featured Posts

MAAFISA WA BUNGE WAHUDHURIA KIKAO KAZI CHA SERIKALI MTANDAO ARUSHA

Maafisa wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia jambo kwenye Kikao Kazi cha 3 cha Serikali Mtandao kinachoangazia matumizi ya mtandao kwenye Ofisi za Umma kinachohudhuriwa na  wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Umma kilichoanza hii leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) Jijini Arusha. 

Kikao hicho kimefunguliwa rasmi hii leo na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi. 



 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana