Featured

    Featured Posts

MWAKA MMOJA WA KUAMINIWA, WAZIRI NAPE AMEFANYA MAKUBWA+video

                                             
Katika mwaka mmoja wa kuaminiwa kwake, Mhe. Nape Moses Nnauye amedhihirisha uchapa kazi, uvumilivu, ustahimilivu, upole, unyenyekevu na kufanya kazi kwa bidii huku akiwajali wale anaofanya nao kazi.

Katika kazi alizofanya kutekeleza majukumu na wajibu wake, amekuwa akifanya kwa weledi wa hali ya juu huku akionesha kufanya kazi kwa bidii, kushirikiana na watu wa aina zote bila kujali nafasi yake. 

Ameongoza kwa mfano. Hakati tamaa hata pale kazi inapokuwa ngumu, huonesha uongozi kwa vitendo na unyenyekevu. Sifa ya kiongozi ni kuelewa dhamana aliyonayo katika kuwajibika na kuwaongoza watu kwa vitendo. #Nape365




 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana