Featured

    Featured Posts

NCC BARAZA LILILOPEWA MAJUKUMU 15 YA KUENDELEZA SEKTA YA UJENZI NCHIN+video

Mtendaji Mkuu wa Barza la Taifa la Ujenzi(NCC), Dkt Matiko Mturi akitangaza majukumu 15 waliyopewa kisheria ya uendelezaji sekta ya ujenzi nchini wakati wa mkutano ba nyombo vya habari jijini Dodoma Februari 13, 2023.
Wanahabari wakiwa makini kusikiliza wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma.



 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari -MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa maneno ya kuhitimisha mkutano huo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Dkt Mturi akielezea kuhusu majukumu hayo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana