Featured

    Featured Posts

NMB YAZINDUA KAMPENI YA UMEBIMA KANDA YA DAR

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba (wa tatu kulia), akipeperusha bendera na Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Martine Massawe (wa tatu kushoto) kuashiria uzinduzi wa Kampeni ya Umebima kwa Kanda  ya Dar es Salaam. 

Uzinduzi huo umefanyika katika eneo la Stendi ya Simu 2000 jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Afisa Biashara Manispaa ya Ubungo, Geofrey Mbwana, Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi, Aikansia Muro (wa pili kushoto), Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbezi Louis, Ian Meena (kulia) na Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard (wa pili kulia).


Mkuu wa Idara ya Idara ya Bima ya NMB, Martin Massawe akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Umebima wilaya ya Ubungo.


Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Umebima wilaya Ubungo

 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana