Featured

    Featured Posts

RINGO AKERWA MAKAO MAKUU DODOMA KUZINGIRWA NA GIZA+video

Mjumbe wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma, Ringo Iringo ameonesha dhahiri kukerwa na ubovu wa barabara na giza wakati wa usiku katika Jiji la Dodoma ambalo ndiyo makao makuu ya nchi. Kero hiyo ameisema wakati wa uzinduzi wa baraza hilo uliofanywa na Mkuu wa Mkoa huo, Rosemary Senyamule Februari 24,2023 jijini Dodoma.


 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ringo akisikitishwa Dodoma kuzingirwa na giza....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana