Featured

    Featured Posts

RWEIKIZA AITAKA SERIKALI KUJENGA KIWANGO CHA LAMI BARABARA ILIYOTUMIKA WAKATI WA VITA VYA KAGERA+video

Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza ameibana serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya lami yenye zaidi ya Km 60 iliyotumika wakati wa Vita vya Kagera. Rweikiza alitoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Februari 9, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Rweikiza akiibana serikali kuhusu ujenzi wa barabara hiyo...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana