Featured

    Featured Posts

DKT MPANGO KUZINDUA MCHAKATO WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050+video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuzindua mchakato wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2020-2050 Aprili 3, 2023 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Uzinduzi wa mchakato huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Naibu Katibu Mkuu, Jenifa Omollo katika mkutano na vyombo vya habari  katika Makao Makuu ya Wizara hiyo jijini Dodoma Machi 30, 2023.


Baadhi ya maafisa wa wizara hiyo.



Baadhi ya wanahabari wakiwa katika mkutano huo.


 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Omollo akielezea kuhusu maandalizi ya uzinduzi huo...


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana