Featured

    Featured Posts

MWAKIBETE: TANZANIA TUNAUNGANA KUADHIMISHA SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI+video


Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma Machi 23, 2023, kuhusu Tanzania kuungana Jumuiya ya Hali ya Hewa Duniani katika maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Naibu Waziri Mwakibete akitangaza maadhimisho hayo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana