Featured

    Featured Posts

YANGA YATINGA LUBUMBASHI NA 'FULL NONDO' YA VIONGOZI


 ... Miongoni mwa viongozi wakubwa wa Yanga waliokwenda Dr Congo ni ;
▪️GSM - Muwekezaji wa Yanga
▪️Eng. Hersi Said - Rais wa Yanga
▪️Andrew Mtine - CEO wa Yanga
▪️Abbas Tarimba - Mwenyekiti wa baraza la wadhamini wa klabu ya Yanga.
📌 Inaelezwa kuwa licha ya kwenda kwa ajili ya mchezo dhidi ya Tp Mazembe lakini pia watafanya makubaliano ya awali ya usajili ya wachezaji wawili.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana